Tala, Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tala, Kenya


Tala
Nchi Kenya
Kaunti Machakos
Idadi ya wakazi
 - 4,734

Tala ni mji wa Kenya katika kaunti ya Machakos. Umeunganika na Kangundo katika halmashauri moja kubwa (ya tisa nchini).