Nenda kwa yaliyomo

Halmashauri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Halmashauri (kutoka neno la Kiarabu) ni kikundi cha watu ambao wamechaguliwa au kuteuliwa wafanye kazi ya kuongoza, kutawala, kutunga sheria, kushauri na kuelekeza mambo.

Pia ni chombo cha kiutawala chenye mamlaka kiasi fulani kuendesha shughuli za kiutawala za eneo husika kama vile wilaya au mji.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Halmashauri Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.