Taveta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mandhari ya Taveta
Taveta
Nchi Kenya
Kaunti Taita-Taveta
Idadi ya wakazi
 - 67 505

Taveta ni mji wa Kenya kusini mashariki, katika kaunti ya Taita-Taveta.

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 67,505[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.