Nenda kwa yaliyomo

Kikuyu (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kikuyu, Kenya)
Kikuyu


Kikuyu ni mji wa Kenya ya Kati, katika Kaunti ya Kiambu, pia ni kata ya eneo bunge la Kikuyu[1].


Katika sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 233,231 [2].

  1. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
  2. Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009