Maua, Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Maua
Nchi Kenya
Kaunti Meru
Idadi ya wakazi
 - 49,012

Maua ni mji wa Kenya ya Kati, katika kaunti ya Meru.

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 49,012[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived Januari 9, 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.