Tambach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tambach ni mji wa Kenya magharibi, katika kaunti ya Elgeyo-Marakwet.

Umeunganika na mji wa Iten na kuwa na wakazi 44,448 kwa jumla wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

Tambach ni kata ya eneo bunge la Keiyo Kaskazini[2].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
  2. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine