Bondo, Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bondo
Bondo is located in Kenya
<div style="position: absolute; z-index: 2; top: Expression error: Unexpected < operator.%; left: Expression error: Unexpected < operator.%; height: 0; width: 0; margin: 0; padding: 0;">
Bondo
Bondo
Nchi Kenya
Kaunti Siaya
Idadi ya wakazi
 - 33,468

Bondo ni mji wa Kenya, mkubwa kuliko yote ya kaunti ya Siaya.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 33,468 wanaoishi katika mji huu[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Anwani ya kijiografia: 0°14′N 34°16′E / 0.233°N 34.267°E / 0.233; 34.267