Kaunti ya Kericho
Mandhari
Kaunti ya Kericho ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 901,777 katika eneo la km2 2,436.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 370 kwa kilometa mraba[1]. Makao makuu yako Kericho.
Utawala
[hariri | hariri chanzo]Kaunti ya Kericho imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[2]:
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]
[hariri | hariri chanzo]- Belgut 145,072
- Bureti 199,470
- Kericho East 170,625
- Kipkelion 122,530
- Londiani 137,580
- Soin Sigowet 126,500
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-03. Iliwekwa mnamo 2021-09-03.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Kericho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |