Wilaya ya Kericho
Mandhari
Wilaya ya Kericho | |
Wilaya ya Kericho katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Kericho |
Eneo | |
- Jumla | 2,454.5 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 752,396 |
Wilaya ya Kericho ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Kericho.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kericho.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kericho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |