Ukunda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ukunda ni mji wa pwani ya Kenya katika Kaunti ya Kwale.

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 62,529[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived Januari 9, 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.