Nenda kwa yaliyomo

Mlolongo, Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlolongo ni mji wa Kenya, kaunti ya Machakos.

Wakazi walikuwa 136,000 wakati wa sensa ya mwaka 2019[1] .

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mlolongo (Machakos, Eastern Kenya, Kenya) - Population Statistics, Charts, Map, Location, Weather and Web Information". www.citypopulation.de. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.