Nenda kwa yaliyomo

Mumias

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mumias ni mji wa Kenya magharibi katika kaunti ya Kakamega.

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 116,358[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.