Ahero

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ahero
Nchi Kenya
Mkoa Nyanza
Wilaya Nyando
Idadi ya wakazi
 - 7 891

Ahero ni mji wa Kenya katika Mkoa wa Nyanza. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 1999, mji una wakazi wapatao 67 000 wanaoishi katika mji huu.