Kaunti ya Homa Bay
Mandhari
Kaunti ya Homa Bay ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,131,950 katika eneo la km2 3,152.5, msongamano ukiwa hivyo wa watu 359 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Homa Bay.
Utawala
[hariri | hariri chanzo]Kaunti ya Homa Bay ina maeneo bunge yafuatayo:
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [2]
[hariri | hariri chanzo]- Homa Bay 117,439
- Ndhiwa 218,136
- Rachuonyo North 178,686
- Rachuonyo East 121,822
- Rachuonyo South 130,814
- Rangwe 117,732
- Suba North 124,938
- Suba South 122,383
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Homa Bay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |