Kisiwa cha Rusinga
Mandhari
(Elekezwa kutoka Rusinga Island)
Kisiwa cha Rusinga ni kati ya visiwa vya kaunti ya Homa Bay, magharibi mwa Kenya.
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.
Ni kata ya Eneo bunge la Mbita[1].
Jamii ya Waluo ndio imejaa, wavuvi na wakulima wamo, kwani biashara hufanywa hapa, ina kilomita 16 sawa na maili 10. Wasuba ndio walikuwa wanaishi kitambo, takribani mwaka 1954, ambapo walikuja kama wakimbizi kutoka Uganda.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Rusinga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |