Waluo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kibanda cha Kiluo

Waluo (pia Wajaluo) ni kabila kutoka Sudan Kusini. Wako hasa magharibi mwa Kenya, kaskazini mwa Uganda na mashariki mwa Tanzania katika Mikoa ya Mara na Mwanza. Nchini Kenya ni kabila la nne kwa wingi wa watu (11% za wakazi wote wa nchi). Inawezekana katika nchi hizo kwa jumla wamezidi milioni 7, mbali na makabila ya jamii hiyohiyo.

Lugha yao ni Kiluo. Wenyewe hujiita Jaluo na lugha yao Dhulou.

Waluo ni mkusanyiko wa kabila la Waniloti ambalo lilisafiri kutoka Afrika ya Kaskazini kufuata mto Nile kwenda Kusini. Waluo wengi wameenea kandokando ya Ziwa Viktoria kutokana na utamaduni wao wa uvuvi.

Wajaluo mashuhuri

Flag of Kenya.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waluo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.