Wayaaku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wayaaku (pia: Wamukogodo[1]) ni kabila la watu wanaoishi katika misitu ya Mukogodo, magharibi mwa Mlima Kenya, katika kaunti ya Laikipia, Kenya.

Asili[hariri | hariri chanzo]

Wayaaku waliingia Kenya kutoka Ethiopia kusini wakachanganyikana na wenyeji[2] .

Katika miaka ya 1920 na 1930 walianza kuiga utamaduni wa Wamasai na hata lugha yao.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Mhando, J., Safeguarding Endangered Oral Traditions In East Africa, Nationl Museums of Kenya online
  2. Mhando, J., Safeguarding Endangered Oral Traditions In East Africa, Nationl Museums of Kenya online

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Brenzinger, Matthias (1992) 'Lexical retention in language shift', in Brenzinger, Matthias (ed.) Language Death: Factual and Theoretical Explorations with Special Reference to East Africa. Berlin/New York: Mouton de Gruyter, 213–254.
  • Cronk, Lee (2002) 'From true Dorobo to Mukogodo-Maasai: contested ethnicity in Kenya', Ethnology, 41(1), 27–49.
  • Heine, Bernd (1974/75) 'Notes on the Yaaku language (Kenya)', Afrika und Übersee, 58(1), 27–61; 58(2), 119–138.
  • Heine, Bernd & Brenzinger, Matthias (1988) 'Notes on the Mukogodo dialect of Maasai', Afrikanistische Arbeitspapiere, 14, 97–131.
  • Mous, Maarten & Stoks, Hans & Blonk, Matthijs (2005) 'De laatste sprekers' [the last speakers], in Indigo, tijdschrift over inheemse volken [journal on indigenous peoples], pp. 9–13.See article The last speakers
  • Sommer, Gabriele (1992) 'A survey on language death in Africa', in Brenzinger, Matthias (ed.) Language Death: Factual and Theoretical Explorations with Special Reference to East Africa. Berlin/New York: Mouton de Gruyter, 301–417.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wayaaku kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.