Waluhya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

'Waluhya' (Abaluhya) ni kabila kubwa la pili katika Kenya wakikalia hasa Mkoa wa Magharibi. Wako pia Uganda na Tanzania.

Katika Kenya kuna koo 18, Uganda koo 4 na Tanzania ukoo mmoja wa Kiluhya. Koo kubwa zaidi ni Wabukusu, Wamaragoli, Wawanga, Wanyore, Waidakho, Wakisa, Waisukha, Watiriki, Wakabras, Wagisu na Wasaamia.

Kabila Lugha [1] ISO 639-3 Mkoa
Wabukusu Lubukusu bxk Bungoma (Kenya)
Waidakho Luidakho ida Kakamega (Kenya)
Waisukha Luisukha ida Kakamega (Kenya)
Wakabras Lukabarasi lkb Kakamega (Kenya)
Wakhayo Olukhayo lko Busia (Kenya)
Wakisa Olushisa lks Butere/Mumias (Kenya)
Waavalogoli (Wamaragoli) Lulogooli rag Maragoli, Vihiga (Kenya)
Wamarachi Olumarachi lri Busia (Kenya)
Wamarama Olumarama lrm Butere/Mumias (Kenya)
Wanyala Lunyala nle Busia (Kenya)
Wanyole Olunyole nyd Vihiga (Kenya)
Wasamia Lusamia lsm Busia, Kakamega - Uganda
Watachoni Lutachoni lts Lugari, Malava (Kenya)
Watiriki Lutirichi ida Vihiga (Kenya)
Watsotso Olutsotso lto Kakamega (Kenya)
Wawanga Oluwanga lwg Butere/Mumias (Kenya)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

  1. Ethnologue: Kiluhya


People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waluhya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.