Waogiek

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Waokiek (Ogiek: Kigezo:IPA2), au kwa jina lingine la Waogiek au Waakiek (ingawa jina Akiek hutambulisha kabila lingine), ni kabila linalopatikana kaskazini magharibi mwa Tanzania, kusini mwa Kenya (kwenye Msitu wa Mau), na magharibi mwa Kenya (kwenye msitu wa Mlima Elgon). Mnamo mwaka wa 2000 idadi ya Waokiek ilikadiriwa kuwa 36,869, ingawa waongezi wa lugha ya Kiakiek ilikuwa tu takribani watu 500 [1]. Waogiek wengi wamebadilisha lugha zao hadi zile za wakaazi wanaowazunguka : Waakiek katika kaskazini mwa Tanzania kwa sasa wanaongea lugha ya Kimaasai nao Waakiek walio Kinare, Kenya wanaongea lugha ya Kikikuyu. Waogiek ni baadhi ya kundi la makabila walio wawindaji-wakusanyaji nchini Kenya na Tanzania ambao jina Dorobo or Ndorobo (ambalo ni jina lenye asili ya Kimaasai ambalo kwa sasa linachukuliwa kama matusi) limetumika.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waogiek kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag-map of Kenya.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Waogiek kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Waogiek kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Mizozo ya mashamba[hariri | hariri chanzo]

Waogiek mara nyingi wametoa malalamishi yao dhidi ya serikali ya Kenya wakilalama kutoshughulikiwa matakwa yao , haswa kwa kunyan'ganywa mashamba yao kwa haramu.[1]

Vidokezo[hariri | hariri chanzo]

 1. Kimaiyo, Towett J. (2004). Ogiek Land Cases and Historical Injustices — 1902 – 2004. Nakuru, Kenya: Ogiek Welfare Council, 127 pages + appendices.  (Maandishi timilifu kuhusu kitabu kwenye kiongu.)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 • Heine, Bernd (1973) 'Vokabulare ostafrikanischer Restsprachen', Afrika und Übersee , 57, 1, pp. 38–49.
 • Kratz, Corinne A. (1981) "Are the Okiek really Masai? or Kipsigis? or Kikuyu?" Cahiers d'Études Africaines. Vol. 79 XX:3, pp. 355–68.
 • Kratz, Corinne A. (1986) 'Ethnic interaction, economic diversification and language use: a report on research with Kaplelach and Kipchornwonek Okiek', Sprache und Geschichte in Afrika , 7, 189—226.
 • Kratz, Corinne A. (1989) "Okiek Potters and their Wares." In Kenyan Pots and Potters. Edited by J. Barbour and S. Wandibba. Nairobi: Oxford University Press.
 • Kratz, Corinne A. (1994) Affecting Performance: Meaning, Movement and Experience in Okiek Women's Initiation. Washington DC: Smithsonian Institution Press.
 • Kratz, Corinne A. (1999) "Okiek of Kenya." In Foraging Peoples: An Encyclopedia of Contemporary Hunter-Gatherers. Edited by Richard Lee and Richard Daly. Cambridge: Cambridge University Press, pp. 220–224.
 • Kratz, Corinne A. (2000)"Gender, Ethnicity, and Social Aesthetics in Maasai and Okiek Beadwork." In Rethinking Pastoralism in Africa: Gender, Culture, and the Myth of the Patriarchal Pastoralist. Edited by Dorothy Hodgson. Oxford: James Currey Publisher, pp. 43–71.
 • Kratz, Corinne A. (2001) "Conversations and Lives." In African Words, African Voices: Critical Practices in Oral History. Edited by Luise White, Stephan Miescher, and David William Cohen. Bloomington: Indiana University Press, pp. 127–161.
 • Kratz, Corinne A. (2002) The Ones That Are Wanted: Communication and the Politics of Representation in a Photographic Exhibition. Berkeley: University of California Press.
 • Rottland, Franz (1982) Die Südnilotischen Sprachen: Beschreibung, Vergelichung und Rekonstruktion (Kölner Beiträge zur Afrikanistik vol. 7). Berlin: Dietrich Reimer. (esp. pp. 26, 138-139)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]