Tawi
Tavi (kwa Kiingereza: branch) ni sehemu ya mti isiyokuwemo katika shina lake.[1]
Kulingana na aina ya mti, matawi yake yanaweza na umbo na ukubwa tofauti sana.
Kwa mfano wa miti, vitu vingine vinaweza kuwa na matawi, kwa mfano: mto (tawimto), kampuni (kampuni tanzu) n.k.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Driscoll, Michael (May 2003). A Child's Introduction Poetry. 151 West 19th Street New York, NY 10011: Black Dog & Leventhal Publishers, 10. ISBN 1-57912-282-5.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tawi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |