Waendo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Waendo ni kabila la watu wa jamii ya Wakalenjin wanaoishi nchini Kenya.

Lugha yao ni Kimarkweeta, mojawapo kati ya lugha za Kinilo-Sahara.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waendo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.