Lugha za Kinilo-Sahara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Lugha za Kinilo-Sahara ni familia ya lugha barani Afrika. Katika familia hiyo kuna lugha takriban 200 zenye wasemaji milioni 35 katika nchi za Mali, Niger, Chad, Sudan na Afrika Mashariki, k.m. Kijaluo na Kimaasai.

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kinilo-Sahara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.