Lugha za Kiniloti
Mandhari
Lugha za Kiniloti ni familia ya lugha za Sudan Mashariki zinazotumika na Waniloti kati ya Sudan na Tanzania. Imegawanyika katika makundi manne:
- Lugha za Niloti za Mashariki kama vile Kiturkana na Kimasai
- Lugha za Niloti za Kusini kama vile Kikalenjin na Kidatooga
- Lugha za Niloti za Magharibi kama vile Kijaluo na Kidinka
- Lugha za Burun
Tanbihi
- Creider, Chet A. (1989). The syntax of the Nilotic languages: Themes and variations. Berlin: D. Reimer. ISBN 3-496-00483-5.
Viungo vya nje
- Nilotic, Michael Cysouw
- The Nilotic Language Family, Doris Payne
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiniloti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |