Kidatooga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidatooga (pia huitwa Kitaturu, Kimang'ati au Kibarabaig) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Tanzania inayozungumzwa na Wadatooga. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidatooga ilihesabiwa kuwa watu 87,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi Kidatooga kiko katika kundi la lugha za Kiniloti.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Creider, Chet A.; Rottland, Franz. 1997. Noun classification in southern Nilotic: Datooga. Afrika und Übersee, 80 (1), uk.71-93.
  • Dempwolff, Otto. 1916/17. Beiträge zur Kenntnis der Sprachen in Deutsch-Ostafrika. Teil 11: Wörter der Tatogasprache. Zeitschrift für Kolonialsprachen, 7, uk.314-319.
  • Eaton, Helen. 1997. The Barabaig noun. BA thesis. University of Reading (UK). Kurasa 130.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidatooga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.