Kikalenjin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Lugha za Kikalenjin ni lugha za Kinilo-Sahara nchini Kenya zinazozungumzwa na Wakalenjin. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikalenjin imehesabiwa kuwa zaidi ya watu milioni 5. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikalenjin iko katika kundi la Kinilotiki. Miongoni mwa lugha za Kikalenjin ni Kikeiyo, Kikipsigis, Kimarkweeta, Kinandi, Kiokiek, Kipokoot, Kisabaot, Kiterik na Kitugen.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikalenjin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.