Watiriki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Watiriki ni kati ya koo kubwa za Waluhya (Abaluhya) katika magharibi ya Kenya, hasa kaunti ya Vihiga.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watiriki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.