Waik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kijiji cha Waik mwaka 2005.

Waik ni kabila la watu linaloishi katika milima ya kaskazini mashariki mwa Uganda, mpakani mwa Kenya.

Lugha yao, Kiik, ndiyo iliyo hai zaidi kati ya lugha za Kikuliak, tawi la lugha za Kinilo-Sahara.

Wanakadiriwa kuwa 10,000.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waik kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.