Wagwere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kundi la Wagwere.

Wagwere ni la kabila la Kibantu linaloishi mashariki mwa Uganda (wilaya ya Budaka, Wilaya ya Pallisa, Wilaya ya Kibuku na Wilaya ya Butebo)[1].

Lugha yao ni Kigwere ambayo inazungumzwa na watu 500,000 hivi.

Leo wengi wao ni Wakristo.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. A History of African Motherhood: The Case of Uganda, 700-1900. Cambridge University Press. 2013. uk. 163. 
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wagwere kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.