Nenda kwa yaliyomo

Waruuli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Waruuli ni kabila la Kibantu linaloishi magharibi kwa ziwa Kyoga, Uganda (wilaya ya Nakasongola na Wilaya ya Masindi, lakini pia Wilaya ya Amolatar na Wilaya ya Luweero).

Lugha yao ni Kiruuli

Wanakadiriwa kuwa watu 232,000 hivi.

Leo wengi wao ni Wakristo.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waruuli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.