Waaringa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Waaringa ni kabila wanaoishi kaskazini kwa ziwa Albert nchini Uganda (Wilaya ya Yumbe) karibu na mpaka wa Sudan Kusini.

Ndio wakazi asili wa eneo hilo, kabla ya ujio wa watu kutoka kaskazini[1].

Lugha ya wengi wao ni Kiaringa, mojawapo kati ya lugha za Kisudani.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Arua Rural Community Development. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-10-08. Iliwekwa mnamo 2020-02-11.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waaringa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.