Wapokot
Mandhari
Wapokot ni jina la kabila dogo ambalo pengine huhesabiwa katika kabila kuu la Wakalenjin.
Lugha
[hariri | hariri chanzo]Wapokot huongea lugha ya Kipokoot.
Vita
[hariri | hariri chanzo]Vita baina ya Wapokot na Wamarakwet ambao pia ni tawi la Wakalenjin vilianza kwa sababu ya wizi wa mifugo, na tangu hapo kumekuwa na nyakati za vita na amani.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wapokot kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |