Nenda kwa yaliyomo

Wajie (Uganda)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uso wa mwanamke wa Kijie.

Wajie ni kabila la watu linaloishi katika milima ya kaskazini mashariki mwa Uganda.

Lugha yao ni lahaja ya Kikaramojong, ambayo ni kati ya lugha za Kiniloti.

Kwa jumla wanahusiana sana na majirani wao, Wakaramojong upande wa kusini na Wadodoth upande wa kaskazini.

Mwaka 1986 walikadiriwa kuwa 50,000 hivi.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wajie (Uganda) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.