Wakiga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Harusi kwa utamaduni wa Wakiga.

Wakiga (kwa lugha yao: Abakiga, yaani watu wa mlimani) ni kabila la Kibantu wanaoishi kusini mwa Uganda na kaskazini mwa Rwanda, nchi yao asili.

Lugha yao ni Kikiga (Rukiga), mojawapo kati ya lugha za Kibantu.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakiga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.