Wagwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wagwe ni kabila la Kibantu linaloishi hasa mashariki mwa Uganda (wilaya ya Busia), ila wachache wako magharibi mwa Kenya.

Lugha yao ni Kigwe (wao wanasema Lugwe) ambayo inazungumzwa na watu 100,000 hivi[1].

Leo wengi wao ni Wakristo.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "The National Population and Housing Census 2014 – Main Report". Uganda Bureau of Statistics. 2016. Iliwekwa mnamo 28 June 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wagwe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.