Waadhola
Mandhari
Waadhola (pia: Jopadhola; kwa lugha yao: Abakiga, yaani watu wa mlimani) ni kabila la Waniloti wanaoishi mashariki mwa Uganda (Wilaya ya Tororo) walipohamia katika karne ya 16.
Lugha yao ni Kiadhola (Dhopadhola), mojawapo kati ya lugha za Kiniloti.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Oboth-Ofumbi, A.C.K., Silver Tanga Padhola, East African Literature Bureau, Nairobi, 1959
- Ogot, B.A. History of the southern Luo, East African Publishing House, Nairobi, 1967
- Owor Maureen,"Creating an Independent Traditional Court: A Study of Jopadhola Clan Courts in Uganda" Journal of African Law (2012) 56/2 pp 215–242.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waadhola kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |