Wasebei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wasebei ni kabila linaloishi hasa kwenye mlima Elgon, mashariki mwa Uganda (wilaya ya Kapchorwa).

Lugha zao ni Kisebei na Kikupsabiny ambazo ni kati ya Lugha za Kiniloti.

Tangu zamani ni wafugaji wa ng'ombe[1] .

Leo wanakadiriwa kuwa 275,000 upande wa Uganda na wachache zaidi nje yake; wengi wao ni Wakristo.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Goldschmidt, Walter; Gale Goldschmidt (1976). Culture and Behavior of the Sebei: A Study in Continuity and Adaptation. Berkeley, California: University of California Press. uk. 11. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-08-05. Iliwekwa mnamo 11 September 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasebei kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.