Nenda kwa yaliyomo

Watooro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Watooro (kwa Kitooro au Rutooro: Abatooro) ni kabila la Kibantu linaloishi magharibi mwa Uganda, katika wilaya za Kabarole, Kamwenge, Kyegegwa na Kyenjojo ambazo kwa jumla zina wakazi 1,000,000.

Wanahusiana sana na Wanyoro.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watooro kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.