Wakumam
Mandhari
Wakumam ni kabila la watu wanaoishi kwenye ziwa Kyoga, kaskazini-mashariki mwa Uganda (wilaya ya Serere, wilaya ya Soroti na wilaya ya Kaberamaido). Walikimbilia huko kutoka Ethiopia kwenye karne ya 17 hivi.
Lugha yao, Kikumam, inafanana na Kiacholi na Kilango, na ni sehemu ya kundi la lugha za Kinilo-Sahara.
Wanakadiriwa kuwa 340,000 hivi.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wakumam kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |