Nenda kwa yaliyomo

Kikumam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikumam ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Wakumam. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikumam iko katika kundi la Kinilotiki.

Mwaka wa 2014 idadi ya wasemaji wa Kikumam imehesabiwa kuwa watu 270,000.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikumam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.