Kiacholi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiacholi

Kiacholi ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Waacholi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiacholi imehesabiwa kuwa watu 1,170,000. Pia kuna wasemaji 45,000 nchini Sudan Kusini. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiacholi iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiacholi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.