Kikaramojong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaramojong ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Wakaramojong. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikaramojong ilihesabiwa kuwa watu 260,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaramojong kiko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaramojong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.