Wizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfano wa wizi: Magurudumu tu ya baiskeli yamebaki
Mfano wa wizi: gurudumu tu la baiskeli limebaki.

Wizi (kutoka kitenzi "kuiba") ni wakati mtu mmoja au kikundi kinachukua kutoka kwa watu wengine kitu chochote, kwa mfano pesa au habari bila idhini. Mtu aliyehukumiwa kwa wizi anaweza kuitwa mwizi.

Kuna aina nyingi za wizi, kwa mfano kwa kunyakua, kwa kuvunja milango au madirisha, kwa kuingilia kompyuta n.k.

Kwa jumla duniani kote wizi unaadhibiwa na sheria.

Pia dini zinaona tendo hilo kuwa dhambi, isipokuwa pengine mtu asipokuwa na njia nyingine yoyote ya kupata mahitaji yake ya msingi.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wizi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.