Kiruuli (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiruuli)

Kiruuli ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Waruuli. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiruuli imehesabiwa kuwa watu 160,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiruuli iko katika kundi la J10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiruuli (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.