Kiik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kiik ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Waik. Idadi ya wasemaji wa Kiik imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiik iko katika kundi la Kikuliak ambalo ni tofauti sana na lugha nyingine za Kinilo-Sahara.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.