Timothy Apiyo
Mandhari
Timothy Apiyo (1930 - 10 Juni 2013) alikuwa mwanasiasa na Katibu Mkuu Kiongozi [1] nchini Tanzania .[2]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Timothy Apiyo alizaliwa katika wilaya ya Tarime mwaka 1930, mwaka 1959 alipata shahada ya Kilimo katika Chuo Kikuu cha Makerere.
Kifo
[hariri | hariri chanzo]Apiyo alifariki dunia mwaka 2013 kwa ugonjwa wa mapafu nchini Afrika Kusini [3].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-27. Iliwekwa mnamo 2021-04-03.
- ↑ Rugonzibwa, Pius (Juni 12, 2013). "Tanzania: Timothy Apiyo Is No More". Tanzania Daily News. Iliwekwa mnamo Agosti 28, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/katibu-kiongozi-apiyo-afariki-dunia-a-kusini-2751802
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Timothy Apiyo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |