Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kabondo Kasipul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Kabondo Kasipul ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Homa Bay na ni moja kati ya majimbo nane katika kaunti hiyo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili ni miongoni mwa majimbo ya kwanza kubuniwa baada ya Uhuru wa Kenya, wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1963.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Samuel Onyango Ayodo KANU
1969 James Ezekiel Mbori KANU Mfumo wa chama Kimoja
1974 Samuel Onyango Ayodo KANU Mfumo wa chama Kimoja
1979 Samuel Onyango Ayodo KANU Mfumo wa chama Kimoja
1983 James Ezekiel Mbori KANU Mfumo wa chama Kimoja
1988 James Ezekiel Mbori KANU Mfumo wa chama Kimoja
1992 Otieno Kopiyo Ford-Kenya
1997 William Otula NDP
2002 Peter Owidi NARC Owidi aliaga dunia mnamo 2005
2005 Patrick Ahenda LPK Uchaguzi Mdogo
2007 Joseph Oyugi Magwanga ODM

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
East Kamagak 15,044
Kakelo 17,080
Kakhieng 8,740
Kasewe 11,498
Kodera 14,767
Kojwach 18,893
Kokech 9,189
Kokwanyo 9,763
Konuonga 9,548
Kowidi 14,094
Kowour 14,280
North Kamagak 15,198
Ramba 9,647
Ramula 6,136
Wang'chieng 16,281
West Kamagak 18,103
Jumla x
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Ayoro / Nyandong'e 4,087 Oyugis (Mji)
Central Kasipul 6,663 Rachuonyo county
Kabondo East 8,827 Rachuonyo county
Kabondo West 9,706 Rachuonyo county
Kakelo 4,890 Rachuonyo county
Kojwach 5,060 Rachuonyo county
Kokwanyo 3,219 Rachuonyo county
Mawira / Rabuor 3,270 Oyugis (Mji)
Obisa 5,445 Oyugis (Mji)
Sikri 3,332 Oyugis (Mji)
West Kasipul 7,399 Rachuonyo county
Wire Hill / Migwa 2,539 Oyugis (Mji)
Jumla 64,437
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]