Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
Jump to navigation
Jump to search
Jamhuri ya Kenya |
![]() Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1997 ndio ulikuwa wa pili katika Mfumo wa Vyama Vingi Nchini Kenya. Ulifanyika mnamo tarehe 29, Desemba 1997.
Matokeo ya Urais[hariri | hariri chanzo]
Kulikuwa na wagombezi watano muhimu wa urais katika uchaguzi huu, huklu mmoja akiwa mwanamke wa kwanza kugomba urais nchini Kenya:
- Daniel Arap Moi
- Mwai Kibaki
- Raila Amollo Odinga
- Michael Wamalwa Kijana
- Charity Ngilu
Miongoni mwa wengine
Chama | Mgombea | Idadi ya Kura | % | |||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
KANU | Daniel Arap Moi | 2,500,856 | 40.60% | |||||||||
DP | Mwai Kibaki | 1,911,742 | 31.00% | |||||||||
NDP | Raila Odinga | 667,886 | 10.80% | |||||||||
FORD-K | Kijana Wamalwa | 505,704 | 8.20% | |||||||||
SDP | Charity Ngilu | 488,600 | 7.90% | |||||||||
Others | Others | 84,644 | 1.40% | |||||||||
Total | 6,159,432 | |||||||||||
Waliojitokeza: 68.2% (Wapiga kura waliojiandikisha: 9,030,167) |
Matokeo ya Urais Kimikoa[hariri | hariri chanzo]
Mkoa | Moi | % | Kibaki | % | Raila | % | Wamalwa | % | Ngilu | % | Wengine | % | Wapigakura Waliojiandikisha |
Waliojitokeza % | |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kati | 56,367 | 5.6% | 891,484 | 89.4% | 6,869 | 0.7% | 3,058 | 0.3% | 30,535 | 3.1% | 9,347 | 0.9% | 1,346,189 | 74.1% | |
Bonde la Ufa |
1,140,109 | 69.5% | 343,529 | 21.0% | 36,022 | 2.2% | 102,178 | 6.2% | 11,345 | 0.7% | 6,232 | 0.4% | 2,160,453 | 75.9% | |
Western | 314,669 | 44.9% | 9,755 | 1.4% | 13,458 | 1.9% | 338,120 | 48.2% | 3,429 | 0.5% | 21,496 | 3.1% | 1,028,732 | 68.1% | |
Nyanza | 215,923 | 23.6% | 138,202 | 15.1% | 519,180 | 56.8% | 14,623 | 1.6% | 15,301 | 1.7% | 11,245 | 1.2% | 1,361,251 | 67.2% | |
Mashariki | 370,954 | 35.6% | 296,335 | 28.5% | 7,787 | 0.7% | 7,017 | 0.7% | 349,754 | 33.6% | 8,916 | 0.9% | 1,433,737 | 72.6% | |
Nairobi | 75,272 | 20.6% | 160,124 | 43.9% | 59,415 | 16.3% | 24,971 | 6.8% | 39,707 | 10.9% | 5,066 | 1.4% | 726,779 | 50.2% | |
Coast | 257,056 | 63.4% | 51,909 | 12.8% | 24,844 | 6.1% | 11,306 | 2.8% | 38,089 | 9.4% | 22,180 | 5.5% | 800,689 | 50.6% | |
Kaskazini Mashariki |
70,506 | 73.2% | 20,404 | 21.2% | 311 | 0.3% | 4,431 | 4.6% | 440 | 0.5% | 162 | 0.2% | 172,337 | 55.9% | |
Total | 2,500,856 | 40.6% | 1,911,742 | 31.0% | 667,886 | 10.8% | 505,704 | 8.2% | 488,600 | 7.9% | 84,644 | 1.4% | 9,030,167 | 68.2% | |
Kiini: Electoral Commission of Kenya |
Matokeo ya Ubunge[hariri | hariri chanzo]
(Wabunge 222, 12 wakiteuliwa na rais, 210 wakichaguliwa na raia kutumikia kipindi cha miaka mitano)
Chama | Viti |
---|---|
KANU | 107 |
DP | 39 |
NDP | 21 |
Ford-Kenya | 17 |
SDP | 15 |
SAFINA | 5 |
Ford-People | 3 |
Ford-Asili | 1 |
Vyama vidogo | 2 |
- Viti vilivyoteuliwa na rais—KANU 6, DP 2, FORD-Kenya 1, SDP 1, NDP 1, SAFINA 1
Virejeleo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ http://www.umsl.edu/services/govdocs/wofact98/134.htm Archived 3 Juni 2010 at the Wayback Machine. Results from World Factbook 1998
Out for the Count: The 1997 General Elections and Prospects for Democracy in Kenya, Rutten, Marcel et al Eds., Uganda, Fountain, 2001.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997 kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
![]() |
Makala hii kuhusu Chaguzi Afrika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |