Bunge la Kenya

Bunge la Kenya ni bunge lenye vyumba viwili[1] ambavyo ni:
- Seneti (chumba cha juu)
- Bunge la Taifa (chumba cha chini)
Kabla ya katiba mpya, bunge lilikuwa la chumba kimoja.
Bunge hili lilianzia muhula wake wa kumi na mbili tarehe 8 Agosti 2017.
Wajumbe hukutana katika majengo ya bunge, Nairobi.
Angalia pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Establishment and role of Parliament. parliament.go.ke. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-04-01. Iliwekwa mnamo 30 March 2013.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |