Kumi na tatu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kumi na tatu ni namba inayoandikwa 13 kwa tarakimu za kawaida na XIII kwa zile za Kirumi. Inafuata 12 na kutangulia 14.

13 ni namba tasa.

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kumi na tatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.