Chumba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mifano ya vyumba mbalimbali

Chumba (kutoka neno Nyumba; kwa Kiingereza: room) ni jengo dogo au sehemu ya jengo kubwa. Lengo lake ni kuwapa watu nafasi ya kutosha kwa shughuli fulani, kwa mfano kulala, kula, kusoma n.k. Kwa kawaida kina fenicha za kutosha kwa lengo husika.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chumba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.